Michezo

Matokeo na picha za mechi ya Taifa Stars vs Benin October 12 2014

on

sportsMechi ya kimataifa ya kirafiki kati ya timu ya Tanzania Taifa Stars vs Benin imechezwa October 12 2014 uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo Stars wamechukua ujiko kutokana na ushindi walioupata.

Ni mechi ambayo imemalizika kwa ushindi 4 – 1, yani Taifa stars ndio wameshinda hizo goli nne kwa moja.Screen Shot 2014-10-12 at 9.27.30 PMScreen Shot 2014-10-12 at 9.29.27 PM

Screen Shot 2014-10-12 at 9.28.15 PM

Screen Shot 2014-10-12 at 9.51.31 PM

Tupia Comments