Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TAKUKURU yakamata dawa za Mil. 56
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > TAKUKURU yakamata dawa za Mil. 56
Top Stories

TAKUKURU yakamata dawa za Mil. 56

January 10, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

TAKUKURU mkoa wa Mara imekamata jumla ya maboksi 40 ya dawa za binadamu zilizokwisha muda wake wa matumizi, katika hopitali za serikali na vituo vya afya binafsi mkoani humo, huku wakiwashikilia watu wawili kwa tuhuma za ugawaji wa dawa hizo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa TAKUKURU mkoani humo, Alex Kuhanda, amesema kuwa dawa hizo zilizomaliza muda wake zina thamani ya milioni 56.

“Kitu ambacho hatuna uhakika nacho kama hawa wanaogawa haya madawa, wanawagawia na ndugu zao au hawawagawii lakini ni madawa ambayo yameisha muda wake, na tumewakamata watu wawili na wako ne kwa dhamana”, Kuhanda.

Katika hatua nyingine Kuhanda amesema wameanza kutoa huduma ya kuwafuata wananchi katika maeneo yao ili kupata malalamiko na taarifa za rushwa

You Might Also Like

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 10, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Nitahakikisha waandishi wanapata mikataba hamna mjadala” Bashungwa
Next Article VideoMPYA: Karibu kuitazama ‘Mugambo’ ya Goodluck Gozbert kamshirikisha Bonny Mwaitege
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?