AyoTV

VIDEO: “Wanaume wa WCB wote waaminifu” – Babutale

on

Kutoka Makao Makuu ya WCB kwa Meneja wa mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz na Tip Top Connection, Babutale leo July 25, 2017 amepost picha yenye maneno yalioandikwa ‘Wanaume wa WCB wote waaminifu’ kupitia ukurasa wake wa Instagram @babutale

Tazama kila kitu kwa kuPLAY kwenye VIDEO hii…

Video: Harmonize na Jah Praizah wakizungumzia wimbo wao mpya unaotoka soon >>>

Soma na hizi

Tupia Comments