Habari za Mastaa

Picha 10 za Miss Talent Dar City Centre wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari.

on

58mkubwaMashindano ya vipaji vya warembo ambao wanashiriki kwenye  mashindano ya urembo Miss Dar City Centre ambayo yatafanyika kwenye ukumbi wa New Club Maisha,miongoni wa burudani zilizotajwa ni pamoja na ile inayowahusisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya kama Rich Mavoko,Bonge la Nyau na Tid.

Nimeambiwa kuwa shindano la urembo rasmi litakuwa ni tarhe 25 mwezi huu wa tano pale Escape One lakini kesho Mei 16 ni mashindano ya vipaji,cheki picha hizi za warembo.

73mkubwa

51mkubwa

46mkubwa

12mkubwa

3mkubwa

4mkubwa

7mkubwa

8mkubwa

11mkubwa

 

Tupia Comments