Top Stories

Tamasha la vyakula Zanzibar, RC Ayoub afunguka “Haijawahi kutokea duniani”

on

Tamasha la Kimataifa linalohusu rasilimali na Vyakula baharini limelenga kuwakutanisha wavuvi 10,000 na kutoa ajira za muda zisizopungua Watu 16,322 katika mkoa wa Kaskazini Unguja.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa Unguja Kaskazini,  Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha hilo linalojulikana kama Zanzibar Sea Food Festival ambalo litafanyika kwa siku mbili kuanzia Oktoba 8 hadi 9 mwaka huu.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

SAKATA LA MAHINDI KUTONUNULIWA LILIVYOTIKISA BUNGE, WABUNGE WATOA MAAZIMIO

Soma na hizi

Tupia Comments