Habari za Mastaa

Tambo za Harmonize afikia jumba iliyomilikiwa na msanii sa Marekani “Jeniffer Lopez”

on

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae bado yuko nchini Marekani katika tour ya kutoa burudani katika miji mbalimbali sasa time hii mkali huyo amefika kwenye nyumba iliyomilikiwa na msanii wa kike wa Marekani aitwae Jennifer Lopez iliyopo Ocean Drive Miami Beach huko Marekani.

MSANII ALIYETAJWA KUSAINIWA WCB, AZUNGUMZIA UKARIBU WAKE NA NANDY, DIAMOND NA MBOSSO

Soma na hizi

Tupia Comments