Top Stories

Tamko la Polisi juu ya traffic aliekamatwa na hela

on

Mara baada ya picha za askari wa usalama barabarani kusambaa mitandaoni zikimuonesha akiwa ameshika fedha zinazodaiwa kuwa ni za rushwa, Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa.

Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 20, 2022, na Msemaji wa Jeshi hilo SACP David Misime, ambapo amesema mara baada ya picha hizo kusambaa mitandaoni hatua zilianza kuchukuliwa kwa kushirikiana na wadau wengine.

Hakuna aliyepo juu ya sheria, hivyo hatua kali na stahiki kwa mujibu wa sheria, kanuni, taratibu na ushahidi utakaopatikana zitachululiwa,”  SACP Misime

Soma na hizi

Tupia Comments