Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tamko la Simba SC kuhusu takwimu za bodi ya ligi Kuu Tanzania bara
Share
Notification Show More
Latest News
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Tamko la Simba SC kuhusu takwimu za bodi ya ligi Kuu Tanzania bara
Sports

Tamko la Simba SC kuhusu takwimu za bodi ya ligi Kuu Tanzania bara

September 23, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) leo imetangaza Club 20 za soka Tanzania ambazo zimeingiza Mashabiki wengi viwanjani (home ground) katika msimu wa 2020/2021.

1- Yanga SC Mashabiki 141,681

2- Simba SC Mashabiki 138,518

3- Dodoma Jiji FC Mashabiki 27,455

4- JKT Tanzania Mashabiki 25,062

5- Mwadui FC Mashabiki 22, 232

Hizi ni baadhi ya Club ila orodha iliyotangazwa inafikia Club 20.

Kwa upande wa mapato Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara (TPLB) ikataja Club za soka zilizopata mapato mengi kupitia viingilio vya mlangoni kwa msimu mzima wa 2020/2021

1- Yanga SC Tsh millioni 986.8

2- Simba SC Tsh milioni 929.7

3- JKT Tanzania Tsh milioni 148.1

4- Dodoma jiji Tsh milioni 139.3

5- Ihefu FC Tsh milioni 138.6

Hizi ni baadhi ya Club ila orodha iliyotangazwa inafikia Club 20.

Kufuata takwimu hizo sasa Afisa Habari wa Simba SC, Ezekiel Kamwaga kafunguka kuhusiana na namna walivyoipokea taarifa hiyo.

MAKAMBA AHOJI TAKWIMU YA BODI YA LIGI KUU, MANARA AWEKA COMMENT

You Might Also Like

Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

TAGGED: Afisa Habari Simba SC, Manaran, michezo
Edwin TZA September 23, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Makamu wa Rais amuagiza Makamba “Tanesco tutafagia wote narudia mara ya mwisho”
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 23, 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?