Top Stories

Tamko rasmi la CHADEMA “Polisi wahakikishe ulinzi kuelekea Uchaguzi, waache propaganda” (+video)

on

Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika leo akiongea na Waandishi wa Habari amenukuliwa akisema “Natoa wito wa wazi kwa IGP na Jeshi la Polisi kuacha kujihusisha na matukio ya kisiasa yenye muelekeo wa kufanya propaganda hasi za kukibeba Chama kimoja kuelekea uchaguzi Mkuu, lijikite kwenye wajibu wake kuhakikisha ulinzi na usalama”.

BREAKING: RAIS MAGUFULI APIGA SIMU, MMASAI APATA MADINI BILIONI 7 MILIONI 700

Soma na hizi

Tupia Comments