Habari za Mastaa

VIDEO: Tammy aeleza alichozungumza na 2 Face wa Nigeria…

on

Ni August 24, 2016 ambapo mwimbaji wa kike wa Hip Hop, Tammy The Baddest ameipa heshima millardayo.com na Ayo TV kuelezea safari yake ya kukutana na 2 Face na ujio wa kundi jipya la Female Rappers.

‘2 Face ni mtu wa karibu wa rafiki yangu akasema unatoka kwa kina Vanessa Mdee nikasema ndio baada ya hapo nikamwambia kwamba mimi ninaimba muziki wa Hip Hop basi akanishauri vitu kadhaa’-

Kiukweli aliniambia vitu vingi vizuri hasa ushauri kuhusu muziki wa Afrika na kutokata tamaa kufanikisha soko la muziki wa female rappers unafanya vizuri’

‘Female Rappers tunajiita Dada Hood inasimamiwa na Mamy wa XXL ya Clouds FM kuna wasanii kadhaa wa kike tulioungana tuko kama wasichana 5 yaani Female Rappers soon kuna wimbo utatoka umetayarishwa katika studio za Nahreel’-

Unaweza ukabonyeza Play kuon alichokizungumza Tammy kuhusiana na safari yake ya Nigeria na ujio wa kundi jipya la Female Rappers 

ULIKOSA HAYA MAELEZO YA SOBER HOUSE KUHUSU MAENDELEO YA RAY C BASI BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA MKURUGENZI WA KITUO HICHO

Soma na hizi

Tupia Comments