Maajabu

GUMZO TANGA: Picha ya mama Maria Nyerere na Nyerere kutokezea kwenye mti (+AUDIO)

on

Hii ni Taarifa kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza na Mama Maria Nyerere upande mwingine. Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016, millardayo.com imempata shuhuda Awadhi Ally kutokea eneo la tukio usiku wa saa tano, na ameeleza kuwa……………

>>>’ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza,  hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu muembe ni kama mtu alijaribu kuuchonga’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza

ULIKOSA YA WAZIRI NAPE KUHUSU WACHEZAJI KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU MICHEZONI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments