Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TANTRADE yapata fursa kuuza nyama Qatar
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > TANTRADE yapata fursa kuuza nyama Qatar
Top Stories

TANTRADE yapata fursa kuuza nyama Qatar

January 23, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa mara nyingine imefanikiwa kuwaunganisha wafanyabiashara wa ndani na Masoko ya nje ya nchi .

Kampuni ya Borema Affairs wamefanikiwa kusafirisha Tani mbili za nyama ya Mbuzi ikiwa ni sehemu ya mkataba wa kusafirisha Tani 120 ( Kilo 120,000) za nyama ya Mbuzi kwa kila mwezi kwenda Doha nchini Qatar.

Fursa Hiyo inatokana na Mkataba wa kibiashara uliosainiwa Kati ya Kampuni ya Borema Affairs na kampuni ya DLYLK for Food Trade iliyopo Doha- Qatar.

Mkataba huo ulisainiwa Mnamo tarehe 22 Disemba,2021 na ulishuhudiwa na Mkurugenzi Mkuu wa *TanTrade Bi . Latifa Khamis.

Mkurugenzi wa Borema Affairs *Bw.Thabit Mlangi* ametumia nafasi ameishukuru Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TanTrade ) kwa kufanikiwa kumuunganisha na soko lenye uhakika huku akitoa wito kwa wafanyabiashara na wafugaji nchini kuendelea kuitumia Tantrade katika kutafuta masoko ya nje ya nchi .

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade ambaye ni Meneja wa Utafiti na Mipango John Fwalo amempongeza Bwana Thabit kwa kufanikisha mkataba huo kwa wakati na kutoa wito kwa wafanyabiashara wengine kuendelea kutumia fursa za kibiashara zinazopatikana TanTrade zenye tija na kufuata taratibu na sheria za nchi_.

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) pamoja na mambo mengine ina jukumu la kusimamia ,kuratibu na kuendeleza Biashara za ndani na nje ya nchi

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 23, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Defao azikwa DR Congo
Next Article Mapato vitalu vya uwindaji yafikia Dola Milioni 8
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?