Michezo

Tanzania kuingiza timu nne michuano ya CAF

on

Shirikisho la soka nchini (TFF) limetangaza kuwa Tanzania imefanikiwa kupeleka timu nne kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2021 – 2022.

“WANAKUSANYA HELA HAWAPELEKI WANATUMIA” RAIS SAMIA AKIAPISHA RC MPYA NA KATIBU TAWALA

Soma na hizi

Tupia Comments