Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania kuzalisha Megawati 5000 umeme wa joto ardhi
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Tanzania kuzalisha Megawati 5000 umeme wa joto ardhi
Top Stories

Tanzania kuzalisha Megawati 5000 umeme wa joto ardhi

November 23, 2021
Share
2 Min Read
SHARE

Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imesema kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 5000 za umeme (MWe) zitokanazo na jotoardhi.

Hayo yamebainishwa leo Novemba 23, 2021 jijini Dar es Salaam na Meneja Mkuu na Mtendaji Mkuu wa TGDC, Kato Kabaka wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio waliyoyapata katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara.

Amesema jotoardhi hilo ambalo linatokana na joto la asili la dunia lililopo chini ya ardhi katika mfumo wa majimoto, mvuke au miamba mikavu linapatikana katika mikoa zaidi ya 16 ya Tanzania bara.

Kabaka amesema maeneo hayo yapo katika sehemu zilizopitiwa na Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki na Magharibi na kuongeza kuwa kulingana na mpango wa Taifa wa uzalishaji umeme wa mwaka 2020 wanalengo la kuzalisha Megawati 200 na 500 za joto zitokanazo na jotoardhi ifikapo mwaka 2025.

“Mafunzo ya jotoardhi hayatolewi na vyuo vya ndani ya nchi bali utolewa na vyuo vya nje, mpaka sasa tumewezesha wataalamu hao kwenda kusoma na wengine bado wapo nje ya nchi wakikamlisha kozi zao,” Kabaka

“Lengo la miradi hii ni kuonesha jinsi rasilimali ya jotoardhi inavyoweza kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za uchumi na kutoa fursa za ajira mpya kwa vijana,” Kabaka

WAVAMIZI WAUA TWIGA, SWALA “WACHOMA SHAMBA, MALI ZAIDI MILIONI 60 ZATEKETEA”

You Might Also Like

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA November 23, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Mgao wa maji uwe wa uwazi, Visima viwe standby” Aweso
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 24, 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?