Top Stories

Tanzania yafuta safari za kimataifa

on

Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania imefuta safari za ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini, hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19.

 

Soma na hizi

Tupia Comments