Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tanzia:Mfanyakazi wa Ayo TV afariki ajalini na Yusuph
Share
Notification Show More
Latest News
Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
August 14, 2022
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Stori Kubwa > Tanzia:Mfanyakazi wa Ayo TV afariki ajalini na Yusuph
Stori Kubwa

Tanzia:Mfanyakazi wa Ayo TV afariki ajalini na Yusuph

August 18, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Watu wawili wamefariki na mmoja kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Kibaha Pwani na kuhusisha gari aina ya Toyota IST (ikitokea Mwanza) na lori aina ya Fuso.

Waliofariki ni Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Brigery na mwingine ni Rafiki aitwae Mujitaba Yusuph huku Mtu wa tatu katika gari ya IST Khamis Abdallah ambae ni Mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa akijeruhiwa kwenye ajali hiyo. Ayo TV na millardayo.com inatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Wapendwa wetu hawa.

Kwa muda mfupi ambao Nellyson alikua amejiunga na Ayo TV alionesha uwezo mkubwa, kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu, tutamkumbuka daima kwa ucheshi wake na moyo wake wa kufanya kazi kwa bidii. Kazi yake ya mwisho kupiga picha za video ilikua ni ya Mtoto wa kike wa miaka 9 anaemlea Bibi yake ambae ni Mgonjwa. Bwana ametoa na Bwana ametwa Jina lake lihimidiwe.

You Might Also Like

Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+)

VIDEO:Mkurugenzi kikaangoni mbele ya Waziri Mkuu ‘Unachuki na mkuu wa mkoa?’

Video:Yaliyojiri nchini Kenya kutafuta miili iliyozama na gari huko Mombasa

Ukitaka kumuaga RUGE MUTAHABA,unapaswa kufika eneo hili(+video)

Eeeh!Wasikie raia walivyojibu kuhusu Mvinyo,Daktari asema ni tiba(+video)

Edwin TZA August 18, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2021
Next Article PICHA 8: RC Kunenge akabidhi Mwenge mkoa wa Dar es Salaam
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
Sports August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
Sports August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
Top Stories August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
Magazeti August 14, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022

August 12, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2022

August 11, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2022

August 10, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2022

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?