AyoTV

FULL VIDEO: Mbunge wa Ukonga Waitara alivyotolewa Bungeni

on

June 20, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai alitoa amria kwa Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu wakati Wabunge wakipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18. Hii hapa FULL VIDEO ya tukio hilo.

VIDEO: Hoja za Mawaziri Mwijage na Mwakyembe kuhusu Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments