Top Stories

“Tasnia ya habari inapokuwa huru inaharakisha Maendeleo ya Taifa” Shaka Hamdu Shaka

on

“Kila ifikapo Mei 4 ya kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Habari. Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali zake zinatambua na kuheshimu Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwani Tasnia hiyo ina msukumo na mchango mkubwa wa maendeleo ya Taifa” Shaka Hamdu Shaka

“Tasnia ya Habari inapokuwa huru na Waandishi wakiandika kwa uwazi, uhalisia na ukweli na kutumia kalamu zao kwa weledi na maadili husaidia kuharakisha maendeleo” Shaka Hamdu Shaka

“Ni vigumu kwa Sekta ya Umma au Sekta Binafsi kutimiza shabaha zake unapokosekana Uhuru wa Habari,” imeeleza taarifa hiyo ya Chama Cha Mapinduzi” Shaka Hamdu Shaka

Soma na hizi

Tupia Comments