Habari za Mastaa

Video ya ‘taste money’ ya P Square imetoka, iko hapa

By

on

Screen Shot 2014-05-08 at 9.07.23 PMNi time ya kuicheki video mpya ya P Square ambao ndani ya siku 30 zilizopita walikua kwenye headlines kubwa za Afrika baada ya stori kuenea kwamba kundi hilo limevunjika japo baadae iliripotiwa kila kitu kimewekwa shwari.

Umeionaje hii video mtu wangu? niachie comment yako hapa chini vilevile ili usipitwe na stori kama hizi jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo nitakua nakutumia kila stori inayonifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments