AyoTV

Tathmini ya Oscar Oscar kwa Taifa Stars hii kuivaa Libya

on

Mchambuzi wa masuala ya soka Oscar Oscar ni miongoni mwa watanzania walioko Tunsia kwa ajili ya kutazama game ya Tanzania dhidi ya Libya ya kuwania kufuzu kucheza AFCON 2021 nchini Cameroon, mchezo huo wa pili kwa timu zote Tanzania ikiwa imetoka na ushindi mechi yake ya kwanza wakati Tunisia ikiwa imepoteza kwa kufungwa 4-1, Oscar anatupa tathmini ya mchezo huo kutokea Tunisia.

VIDEO: BONDIA ARNEL TINAMPAY NAMBA 2 KWA UBORA PHILIPINE BAADA YA MANNY PACQUIAO KATUA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments