Michezo

Ni furaha tu! Mshindi wa Mil 300 Tatu Mzuka alivyozipeleka kwao Temeke

on

Kinachoendelea Paris Ufaransa ni kama kinachoendelea Mbagala Dar es salaam, Ufaransa wakishangilia Kombe Dunia nayo Mbagala wanashangilia Supa Mzuka CUP  baada ya kijana wao Abeid Amir mbeba mizigo katika soko la Kigogo kujishindia mil 300 toka Tatu mzuka.

Abeid Amir ambaye ni mbeba mizigo katika soko la Kigogo baada ya kutangazwa mshindi siku ya juzi ya Jumapili leo jULY 17 2018  amepeleka Kombe lake la ushindi pamoja na kitita cha fedha mtaani kwao Kilungule Mbagala na kupokelewa ndugu na majirani zake.

Yakufahamu kuhusu MILIONI 300 za Tatu Mzuka

Soma na hizi

Tupia Comments