Habari za Mastaa

Taylor Swift atajwa kuongoza orodhaa ya wasanii walioingiza pesa nyingi 2020

on

Mbali na kwamba kulikuwa na Janga la Ugonjwa wa Corona (Covid-19) ila haijawazuia mastaa duniani kuendelea kutengeneza mkwanja mrefu sasa hapa ninakusogezea ripoti ilitolewa na mtandao wa Billboard ambapo time hii wametaja orodhaa ya wasanii 40 kutokea nchini Marekani ambao wamelipwa pesa nyingi kwa mwaka 2020.

.

Billboard wanasema wanamuziki  ambao wamefanikiwa kuingiza pesa ndefu kwa mwaka 2020 ambapo  nafasi ya kwanza anakwenda kwa mrembo Taylor Swift ambae yeye inadaiwa ameweza kutengeneza pesa zaidi ya Tsh.Bilioni 55.1 za kitanzania ambazo ni sawa na dolla za kimarekani ($23.8 milion).

Hapa nimekusogezea orodhaa ya wasanii 20 waliotajwa kuingia Pesa kwa Mwaka 2020

1. Taylor Swift – $23.8M
2. Post Malone – $23.2M
3. Celine Dion – $17.5M
4. Eagles – $16.3M
5. Billie Eilish – $14.7M
6. Drake – $14.2M
7. Queen – $13.2M
8. The Beatles – $12.9M
9. NBA YoungBoy – $11.9M
10. Lil Baby – $11.7M

11. The Weeknd: $10.4M

12. Aventura: $10.2M
13. AC/DC: $10.1M
14. Eminem: $9.7M
15. Lil Uzi Vert: $9.5M
16. Luke Combs: $9.2M
17. DaBaby: $9.1M
18. Metallica: $9M
19. BTS: $8.9M
20. Pink Floyd: $8.8M

VANESSA MDEE AJITOKEZA APINGA WANAOMSEMA KAPATA MTOTO ADAI WANAMPANIKISHA MAMA YAKE

 

Tupia Comments