Habari za Mastaa

Taylor Swift akataa kutoa show ya billion 4.4 kwa sababu hii hapa…+ (Video).

on

TAY

Headlines kutoka Marekani zinaandikwa na superstaa wa muziki wa R&B Pop Taylor Swift baada ya taarifa kusambaa kuwa amepiga chini dili ya kutoa show kwenye harusi ya Billionea, dili ambalo lingempatia superstaa huyo kiasi cha Billion 4.4  (USD 2 Million).

Taylor Swift performs on ABC's "Good Morning America" in Times Square on Thursday, Oct. 30, 2014, in New York.

Kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao, Taylor Swift alipewa ofa ya kulipwa dola Million 1 (Billion 2.2) kwa kila wimbo ambao angependa kuuimba kwenye harusi hiyo na bonus nyingine ya pesa kama angechukua time kukaa na kupiga stori na bibi na bwana harusi… lakini bado staa huyo aliipiga chini ofa hiyo.

TAY7

Sababu zilizowekwa wazi na baadhi ya blogs zinasema kwamba Taylor Swift aliikataa ofa hiyo kwa ajili ya kwenda kuimba bure kwenye ubatizo wa mtoto wa rafiki yake ambako Taylor ni mama wa ubatizo wa mtoto huyo.

TAY4

Taylor Swift na mtoto wa  Kyle Newman ‘Leo’. Taylor alikutana na mtoto huyo kwa mara ya kwanza baada ya kutajwa kuwa mama wa ubatizo.

>>>” amenifurahisha sana, ameonyesha kuwa hababaishwi na pesa kwani sio wote amabao wangekataa mualiko wa namna hiyo kutoka kwa billionea lakini yeye kaonyesha kuwa hakuna kiasi cha pesa kitakachomfanya atangulize pesa dhidi ya urafiki”<<<  kauli ya mmoja ya watu waliohudhuria ubatizo huo.

TAY5

Taylor Swift akiwa na rafiki yake Kyle Newman, kipindi hicho rafiki yake bado ana ujauzito.

Kwenye ubatizo huo Taylor Swift alienda na boyfriend wake Calvin Harris na bendi yake na kutoa show ya nyimbo zake kali zikiwemo; Love Story, I Knew You Were Trouble na Red.

WEST HOLLYWOOD, CA - MARCH 02: Taylor Swift and Jaime King attend the 2014 Vanity Fair Oscar Party hosted by Graydon Carter on March 2, 2014 in West Hollywood, California. (Photo by Jon Kopaloff/FilmMagic)

Taylor Swift na rafiki yake Kyle Newman.

Je, ingekuwa wewe ungeikataa ofa kama hiyo mtu wangu!?

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments