Habari za Mastaa

Tazama alichowahi kuzungumza Maunda Zorro kabla ya kifo ‘Watoto wake, Muziki na mengineyo’ (video+)

on

Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo huko Kigamboni Dar es Salaam.

Hapa nimekusogeza video hii ni interview yake ya mwisho aliyowahi kuifanya na mtangazaji wa EATV, aitwae Big Chawa unaweza itazama hapa.

VIDEO YA MWISHO YA MAUNDA ZORRO MUDA MFUPI KABLA YA KIFO “ALIIMBA NA KUFURAHI”

Tupia Comments