Top Stories

Tazama askari walivyofyatua mabomu juu wakati wakumzika kamanda Kidavashari

on

Naibu Kamishna wa Polisi nchini Kamanda, Zahir Kidavashari aliyefariki dunia usiku wa kuamkia   Novemba 17, 2020  amezikwa leo katika kata ya Kwaugoro wilayani Arumeru mkoani Arusha ambapo viongozi mbalimbali wa jeshi la polisi wamehudhuria mazishi hayo nakuzungumza jinsi walivyomfahamu kamanda Kidavashari.

kwenye hii video hapa chini inaonyesha pia askari walivyofyatua mabomu juu kama heshima na taratibu za polisi kwa viongozi wake wakati wakumzika kamanda Kidavashari.

NOMAA!! MKALI WAKUCHEZA NA PIKIPIKI ARUSHA ALIVYOTUONYESHA UFUNDI WAKE “MAKOMBE YAPO”

Soma na hizi

Tupia Comments