Habari za Mastaa

Tazama Billnass alivyomvisha pete ya uchumba nandy mbele ya wazazi wake (video+)

on

Hatimaye msanii Nandy amemvalisha Pete ya Uchumba Mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni Mwimbaji wa Bongo fleva Nandy na kutoa mahari ya Shilingi Milioni 10 Kwa wazazi wa Nandy.

Tukio hilo limefanyika leo hii nyumbani kwa wazazi wa Nandy huko Mlandizi ambapo familia na watu wa karibu ya pande zote mbili Ndio walipewa mualiko wa kuhudhuria shughuli hiyo.

Unaweza ukabonyeza play kutazama kile kilichojiri katika shughuli hiyo.

 

Soma na hizi

Tupia Comments