Habari za Mastaa

Tazama Gari jipya la Diamond likishushwa kwenye kontena nyumbani kwake

on

Baada ya Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuvuta Cadillac Escalade Black Edition 2020 mpya Kutoka kwenye maganda yake . Hii inakuwa ni Cadillac Escalade ya 2 kwa Diamond kununua ndani ya Miezi miwili ukiachana na Ile ya kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita .

ITAZAME HAPA IKISHUSHWA KUTOKA KWENYE KONTENA NYUMBANI KWAKE

UKALI WA ALIKIBA AKIWAFUNDISHA WANENGUAJI KUICHEZA NDOMBOLO “HAKUNA KUISHIA HAPA MPAKA KIELEWEKE”

Soma na hizi

Tupia Comments