Habari za Mastaa

Tazama Harmonize afika Chato, ashiriki kumbukizi ya hayati Magufuli (video+)

on

Msanii wa muziki nchini, Harmonize ni miongoni mwa watu waliojitokeza Chato, Geita kwa ajili ya kushiriki shughuli ya mwaka mmoja tangu kufariki kwa Dr.Johb Pombe Magufuli ambaye ni Rais wa awamu ya Tano.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

CHOZI LA HAYATI MAGUFULI KWA MAMA MJANE, ATAKUMBUKWA KWA HAYA

 

Tupia Comments