Habari za Mastaa

Tazama Harmonize alivyopigiwa shangwe Marekani, mashabiki wamuita “Jeshi”

on

Ni Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae kwasasa yuko nchini Marekani kwa ajili ya kuwaimbia mashabiki zake walioko katika miji mbalimbali.

Hapa nimekusogezea video ikionesha miji miwili Texas na Ohio namna alivyowaimbia mashabiki zake.

UTACHEKA!! MWIJAKU AKIZICHAPA NA MWAKINYO, ASEMA “IMEINGIA YA TUMBO”

Tupia Comments