Habari za Mastaa

Tazama Harmonize na Konde Gang walivyowasili kwa mbwembwe kumtambulisha Anjella

on

Ni Headlines za msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae leo amemtambulisha Anjella kujiunga kwenye lebo yake iitwayo Konde Gang ambapo msanii huyo wa kike kazi zake zitakuwa zikisimamiwa chini ya lebo hiyo,  sasa hapa nimekusogezea hii video ujionee jinsi walivyowasili katika hafla hiyo ya kumtambulisha msanii huyo wa kike.

TAZAMA HARMONIZE NA KONDE GANG WALIVYOWASILI KWA MBWEMBWE KUMTAMBULISHA ANJELLA

 

TAZAMA HARMONIZE NA ANJELLA WANAFUNGUKA MBELE YA WAANDISHI MUDA HUU

Soma na hizi

Tupia Comments