Top Stories

Tazama jamaa alivyofyetua Risasi hewani huku akitembea barabarani DSM (Video+)

on

Kutoka Dar es salaam leo August 25, 2021, Mtu mmoja ameonekana karibu na Ubalozi wa Ufaransa akifyetua risasi hewani huku akitembea Barabarani.

Ayo TV inaendelea kufutilia tukio hili kaa karibu nasi.

Tazama jamaa alivyofyetua Risasi hewani huku akitembea Barabarani DSM

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments