Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde, ameapigwa kuwa Rais wa mpito baada ya kuondolewa kwa Conde.
Mamady ambaye ana umri wa miaka 41 anakuwa kiongozi wa pili mdogo barani Afrika, mwingine ni Rais wa Mali, Assimi Goïta,mwenye umri wa miaka 38, ambaye pia aliongoza mapinduzi ya kumuondoa Rais Keita.
KAMANDA ALIEMPINDUA RAIS CONDE AUTAKA URAIS “APIGA MARUFUKU WENGINE KUGOMBEA”