Habari za Mastaa

Tazama Kelvin Momo alivyoinogesha Boiler Room Afrika Kusini (video+)

on

Mbali na kwamba Afrika Kusini bado wanamiliki vichwa vya habari kwa utoaji wa burudani wa nyimbo zao zinazojulikana kama Amapiano.

Sasa time hii Platform ya muziki iitwayo Boiler Room yenye makazi yake Uingereza waliweka kambi kwa muda wa mwezi mmoja nchini Afrika Kusini kwa dhumuni la kurekodi burudani zilizotolewa na wakali mbalimbali akiwemo, Uncle Waffle, Musa Keys, Dj Stokie, Dbn Gogo, Kelvin Momo na Young Stunna.

Hapa nimekusogezea utazame dakika 59 za Kelvin Momo ushuhudie alivyoinogesha session iliyoandaliwa na Boiler Room huko Afrika Kusini.

 

MTOTO WA MONALISA ATOKA UKRAINE, MONALISA AFUNGUKA MAZITO “WALITAKA APIGWE BOMU”

Soma na hizi

Tupia Comments