Top Stories

Tazama kijana ‘aliyetrend’ kwa kumuimbia Bilionea Laizer alivyoruka hadi akapewa hela

on

Paul siria ni msanii wa nyimbo za injili ambaye amekuwa akitrend baada yakumtungia Bilionea Saniniu Laizer nyimbo nakuiimba mbele ya viongozi mbalimbali wakati Bilionea huyo akiuza jiwe lingine  kwa serikali lenye thamani ya shilingi Billion 4.8, ambapo wakati anaimba Laizer na viongozi wengine walisimama nakuamua kumpatia fedha

Siria alikuwa mchimbaji mdogo wa madini katika mgodi wa Laizer ambapo baadaye aliamua kuacha na kuanza kuimba nyimbo za injili ambapo kwa mara ya kwanza aliimba nyimbo yakumpongeza Laizer baada yakupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya bilion 7.8

BILIONEA LAIZER ALIVYOUZA JIWE LINGINE LENYE THAMANI YA BILLION 4.8 MIRERANI

Soma na hizi

Tupia Comments