Top Stories

Tazama Lipumba akipiga kura kafunguka ‘tulimalize zoezi hili kwa Amani’

on

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Ticket ya CUF, Prof. Ibrahim Lipumba tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Mtakuja, Kata ya Kunduchi, Jimbo la Kawe Dar Es Salaam.
Wanaosimamia uchaguzi watende haki, tulimalize zoezi hili kwa amani, kura zihesabiwe kama zilivyopigwa kusiwe na uchakachuaji”-LIPUMBA

KUTOKA ZANZIBAR: MAMA SAMIA AZUNGUMZA BAADA YA KUPIGA “WATOKE WOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments