Top Stories

Tazama Maalim Seif alivyofika Chato na kupokewa na Rais Magufuli & Rais wa ZNZ

on

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Mhe.Dkt Hussein Ally Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Mhe.Seif Sharif Hamad wamtembelea Mhe.Rais Dkt John Pombe Magufuli  nyumbani kwake Chato Mkoani Geita na kufanya nae mazungumzo.

Tupia Comments