Habari za Mastaa

Tazama mamia wajitokeza kumzika mtoto wa Kipanya ‘Malcom’ kisutu DSM (Video+)

on

Kutoka Makaburi ya Kisuti DSM shughuli ya maziko wa mwili wa mtoto wa mtangazaji wa Clouds FM, Masoud Kipanya, Malcom Ally umezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Katika mazishi haya yamehudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo CEO wa GSM Ghalibu, Mwigizaji Steve Nyerere, Msanii Ommy Dimpoz, Mtangazaji Millard Ayo, wafanyakazi wa Clouds Media Group na wengine

MANENO YANAYOHUZUNISHA YA MALCOM ‘NAPITIA MAGUMU LAKINI NINA FURAHA’

Soma na hizi

Tupia Comments