Top Stories

Tazama mateso anayopata mfuasi wa Bobi Wine, saba wamefariki (+video)

on

Kipande cha video kikimuonyesha mfuasi wa Mgombea Urais wa Uganda Robert Kyagulanyi ‘ Bobi Wine’ akiwa amekamatwa na Polisi nchini humo, baada ya mfuasi huyo na wenzake kupinga kukamatwa kwa ‘Bobi Wine’ mapema jana katika Wilaya ya Luuka.

Bobi Wine alikamatwa Jana na Polisi kwa kosa la kujaza wafuasi zaidi ya 200 katika mkutano wake wa kampeni, kinyume na kanuni za Tume ya Uchaguzi Uganda (EC).

Via: NTV

Soma na hizi

Tupia Comments