Habari za Mastaa

Tazama Mauno ya Hamisa yalivyompagawisha Mchomvu, “Mwijaku aibuka” (video+)

on

Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae leo wimbo wake uitwao EX wangu ulipata nafasi ya kuwa Jiwe la Wiki katika kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Sasa hapa nimekusogezea ushuhudie vibe la Hamisa Mobetto akicheza na Mtangazaji Adam Mchomvu.

HAMISA MOBETTO KAFUNGUKA “SIAMINI KATIKA MAPENZI YA KUPIGWA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments