Michezo

Tazama Mbwembwe za Manara akicheza wimbo mpya ‘Yanga tamu’ (video+)

on

Ni Feb 21, 2022 kupitia kwa Afisa Habari Haji Manara pamoja na msanii Marioo wameutambulisha wimbo mpya wa mashabiki wa Yanga ambao wameupa jina la Yanga Tamu.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa uzinduzi wa wimbo huo, unaweza ukabonyeza play kutazama mwanzo mwisho.

MARIOO AFUNGUKA KUHAMIA YANGA SC, AZINDUA WIMBO WAKE MPYA ‘SIPENDI KUWA NA STRESS, YANGA TAMU’

Soma na hizi

Tupia Comments