Michezo

Tazama Messi, mkewe na watoto walivyoondoka Barcelona kuelekea Paris (Video+)

on

Lionel Messi na mkewe Antonella pamoja na watoto wao watatu wameanza safari leo Agosti 10, 2021 kuelekea Paris kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na PSG kama mchezaji.

VIDEO MSAFARA WA MAGARI YAKIMPELEKA MESSI AIRPORT KUELEKEA UFARANSA KUICHEZEA “PSG”

VIDEO MESSI ALIVYOTUA UFARANSA, KUANZA KUICHEZEA “PSG”, MASHABIKI WAJITOKEZA KUMPOKEA

Soma na hizi

Tupia Comments