Top Stories

Tazama Msafara wa Rais Samia nchini Marekani, awasili New York (video+)

on

Rais Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kennedy Jijini New York Marekani leo tarehe 19 Septemba, 2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept, 2021.

Soma na hizi

Tupia Comments