Top Stories

Tazama Mwanajeshi alivyopambana na mamba (Video+)

on

Habari ya Mwanajeshi wa Marekani Abdul Gene Malik kupambana na mamba aliyevamia nyumbani kwao kwa kutumia plastiki ya kuhifadhi takataka ni miongoni mwa habari kubwa za wiki hii.

Mwanajeshi huyu amesema aliamua kujitoa muhanga na kupambana ili kuiokoa Familia yake ambapo tukio hili la ujasiri lilirekodiwa na Majirani zake na wanasikika wakimshangilia baada ya kufanikisha kumfunikia ndani ya chombo hicho cha taka.

TAZAMA JAMAA AFUNGA NDOA NA SUFURIA YA KUPIKIA UBWABWA AKIDAI NDIO MKEWE

 

Soma na hizi

Tupia Comments