Top Stories

Tazama mwili wa Alex aliejiua kwa kujipiga Risasi waagwa DSM (video+)

on

NI Alex Koroso aliejiua kwa kujipiga Risasi ambae July 21, 2021 ameagwa kwenye kanisa lililopo katika hospitali ya Muhimbili kisha kuanza safari kuelekea Moshi kwaajli ya shughuli za Mazishi.

Alex alijiua kwa Risasi baada ya kumshambuliwa kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Gift kwa kummiminia Risasi na kupelekea kupoteza maisha ya kijana huyo.

Tukio hilo lililotokea Jumamosi iliyopita July 17, 2021 kwenye Bar maarufu iliyopo Sinza kwa Remi iitwayo Lemax.

TAZAMA MWILI ALEX ALIEJIUA KWA KUJIPIGA RISASI WAAGWA DSM, SAFARI KWENDA KUZIKWA MOSHI

MAGARI YAFURIKA MAZISHI YA GIFT ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Tupia Comments