Top Stories

Tazama Petro wa CCM alivyowaacha hoi ukumbini, Rais Samia ahudhuria ibada ya ndoa yake (video+)

on

Rafiki yetu Petro Magoti, ambaye ni mfanyakazi wa CCM Makao Makuu, Mnamo Septemba 4, 2021 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Joyce Mvungi.

Miongoni mwa waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Uongozi wa Ayo TV & Millardayo.com imetuma salaam za Pongezi na dua njema kwa ndugu Petro Magoti na mkewe Joyce.

Hapa nimekusogezea video kati ya yale yaliyowafurahisha wageni waalikwa katika harusi hiyo baada ya Petro kupewa kipaza sauti kuzungumza maneno mbele ya mkewe.

UTACHEKA!! MWIJAKU AKIZICHAPA NA MWAKINYO, ASEMA “IMEINGIA YA TUMBO”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments