Top Stories

Tazama Rais Kagame akimuendesha Rais Samia nchini Rwanda (Video+)

on

Ni Rais Samia Suluhu Hassan ambae time hii amemiliki Vichwa vya Habari mitandaoni baada ya mwenyeji wake Rais Kagame kumuendesha.

Sio kwamba Dereva hakuwepo au aliumwa bali ni Rais Kagame kuendeleza ukarimu wake na heshima kubwa aliyompa Rais Samia baada ya ziara hiyo ambayo pamoja na mengine imepigilia msumari wa undugu na Ushirikiano wa Nchi hizi mbili.

Rais Kagame ameonekana akimuendesha Rais Samia Suluhu Hassan katika gari aina ya Range Rover.

Ayo TV imekusogezea video ushuhudie hapa

TAZAMA RAIS SAMIA AKIWA ZIARANI NCHINI RWANDA “TUMEKUBALIANA KUENDELEZA USHIRIKIANO ULIPO”

Tupia Comments