Rais Samia Suluhu amekutana 16, feb, 2022 na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Rais kukubali maombi ya Lissu kukutana nae na kuzungumza Jijini Brussels nchini Ubelgiji.
Katika mazungumzo hayo Rais Samia na Lissu wamezungumza masuala mbalimbali yenye maslahi na ustawi wa Tanzania.
Unaweza ukabonyeza play kushuhudia namna Tundu Lissu alivyokutana na Rais Samia.