Habari za Mastaa

Tazama Rais Samia alivyompigia simu Steve Nyerere live (video+)

on

NI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambapo amempigia simu Mwigizaji Steve Nyerere katika hafla ya Mama Ongea na Mwanao iliyowakutanisha wasanii mbalimbali .

Tazama hapa ujionee Steve Nyerere alivyopokea simu na kuzungumza live na Rais Samia mbele ya wasanii wenzake.

STEVE NYERERE AFUNGUKA BAADA YA KUPIGIWA SIMU NA RAIS SAMIA AELEZA ALICHOAHIDIWA “MAMA KANIAHIDI “

Soma na hizi

Tupia Comments