Top Stories

Tazama Rais Samia alivyoondoka na Air Tanzania kwenda Misri (video+)

on

NI 10, Octoba 2021 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemsindikiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa Dodoma kuelekea Nchini Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

RAIS SAMIA APATA SAFARI NYINGINE, AMEALIKWA MISRI “ATASAINI MKATABA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments