Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasili nchini Malawi (Video+)
August 16, 2021
Share
0 Min Read
SHARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katiaka Uwanja wa Ndege wa Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika kuanzia tarehe 17 – 18 Agosti, 2021.
TAZAMA RAIS KAGAME AKIMUENDESHA RAIS SAMIA NCHINI RWANDA